Erling Haaland amesema lengo lake lilikuwa kufunga ‘ hat trick” mbili katika mchezo wa hatua ya 16 bora wa ligi ya Mabingwa barani Ulaya dhidi ya Leipzig.
Mchezaji huyo mwenye miaka 22 amefanikiwa kuvunja rekodi ya miaka 94 iliyowekwa Liverpool baada ya kufanikiwa kufunga magoli mengi ndani ya msimu.
Rekodi ya magoli 39 aliyokuwa nayo imeipita rekodi iliyowekwa na Tommy Johnsson mwaka 1929.
Haaland amefanikiwa kufunga magoli 5 katika ushindi wa magoli 7-0 dhidi ya Leipzig na kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.
Anakuwa mchezajj wa tatu kuweza kufunga magoli 5 katika mechi moja ya ligi ya mabingwa baada ya Luiz Adriano mwaka 2014 na Lionel Messi mwaka 2012.
Akiongea baada ya mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Anfield, Haaland amesema ” mimi nilikuwa nafungaa tu, lakini sikuwa nahesabu,”.
” Nilimwambia kocha ( Guardiola) kuwa nilitaka kufunga hat trick mbili, lakini mechi imeishia hivyo,” amesema.
Kwa upande wa ligi kuu ya Uingereza, Haaland ndiye mchezaji wa kwanza kuweza kufunga h