Mbunge wa Zamani Peter Msigwa atoa rai kwa wanasiasa kutotumia Wamachinga kama sehemu ya kunadisha sera zao ili kupata kushinda kirahisi nafasi za uongozi.
“Umachinga ni kazi ambayo hakuna mtoto wa kiongozi anayeweza kuichagua ,nilikuwa machinga najua mateso na madhila wanayoyapata. Tafadhali wote wenye dhamana na kutatua kero zao manispa ya Iringa, thaminini utu na heshima zao. Kamwe msiwatumie kama mtaji wa kisiasa”@MsigwaPeter