Rais wa TFF, Wallace Karia akiwa Kigali, Rwanda kwenye Mkutano Mkuu wa FIFA wenye ajenda ya Uchaguzi wa Rais, Tanzania ni miongoni mwa Nchi tatu zilizochaguliwa na FIFA kuhesabu kura pale itapohitajika, wengine pichani ni Makamu wa Kwanza wa Rais TFF, Athuman Nyamlani na Katibu Mkuu, Kidao Wilfred
FIFA YAIPONGEZA YANGA KUTWAA UBINGWA LIGI KUU
Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza Klabu ya Young Africans kwa kutwaa ubingwa...
Read more