Kupitia kurasa za Mitandao ya Kijamii ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini, TFF rasmi limetambulisha aina ya Jezi mpya ambazo zitatumika na Kikosi cha Taifa Stars katika michuano ya AFCON 2023
Ikumbukwe kuwa imepita takribani misimu kadhaa kwa Timu hio ya Taifa kutotumia Jezi yenye muonekano mpya pindi ikishiriki michuano mbalimbali ya kimataifa.