Hello! Habari ya wasaa huu, karibu uweze kupitia habari kemkem zilizopewa kipaumbele katika kurasa za Magazeti ya leo Alhamisi Machi 16,2023 kutokea jijini Dar es Salaam, Tanzania
MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI
Mwalimu wa shule ya Msingi Bukumbi Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Claud Makalanga (23) amehukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti...
Read more