Mshambuliaji kinara anayekipiga mnamo klabu ya Man United, Marcus Rashford amefunga goli la 6 kwenye michuano ya Ulaya msimu huu kwenye jumla ya michezo 8 aliyocheza mpaka sasa.
Kwenye mashindano yote amefunga jumla ya magoli 26 mpaka sasa.
Kwa muendelezo huo anazidi kujiwekea rekodi nzuri katika msimu huwa michuano huko Barani Ulaya.