Mkali wa Soka anayekipiga mnamo Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Zambia Kennedy Musonda ameonyesha uwezo mkubwa katika kukisaidia kikosi cha timu hio kuweza kufuzu kucheza hatua ya Robo Fainali Michuano ya Shirikisho CAF.
Mchezaji huyo alisajiliwa kupitia Usajili wa Dirisha Dogo katika Msimu huu wa Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara 2022/2023
Kwani hakuna mchezaji aliyehusika katika mabao mengi kuzidi Kennedy Musonda katika CAFCC
Akiwa amecheza jumla ya mechi nne ameweza kutoa jumla ya Assist 3 na kufunga goli 2.