Msemaji wa Ikulu ya Marekani Karine Jean-Pierre ameonya Wabunge wa Bunge la Uganda kwamba vikwazo vitakavyowazuia kufanya biashara na Marekani vinaweza kuwekwa kwa wale wanaohusika na kupitishwa kwa sheria ya kuwafunga jela wanaofanya mapenzi ya jinsia ya moja.
Hio ni kutokana na wabunge wa nchi hio kupinga vikali ajenda hio inayohusisha kupitisha sheria inayoruhusu mapenzi ya jinsia moja.