Rais wa heshima wa Simba SC, Mohammed Dewji (@moodewji) amenunua tiketi 5,000 kwa ajili mashabiki katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON kati ya Tanzania na Uganda utakaopigwa kesho katika Uwanja wa Benjamini Mkapa majira ya saa 2:00 usiku
Ikiwa ni miongoni wa wadau wanaokazania soka la mpira wa miguu wa hapa nchini kuzidu kusonga mbele amefanya hivyo kuleta hamasa kwa mashabiki ili waweze kuiunga mkono timu yao ya Taifa.