Hii inazihirisha kuwa juhudi za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt. Samia Suluhu zinaanza kuonekana baada ya kuenenda na diplomasia inayojenga mahusiano bora baina ya mataifa ikiwepo Taifa hilo la Marekani.
IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Daniel Chongolo, amepiga marufuku Mkoa wa Iringa kuwa sehemu ya kupata mabinti wa kazi...
Read more