Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC @Kcmc1971kupitia kitengo cha upasuaji wa ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu, imepokea vifaa vya kisasa kwaajili ya upasuaji wa tundu dogo kichwani (ETV/CPC)kwa wagonjwa wenye vichwa vikubwa kutoka kwa CURE-NEURO UGANDA.Upatikanaji wa vifaa hivyo utapunguza upasuaji wa awali wa kuweka mipira kwenye ubongo kupeleka maji tumboni uliokuwa unafanyika awali.
IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Daniel Chongolo, amepiga marufuku Mkoa wa Iringa kuwa sehemu ya kupata mabinti wa kazi...
Read more