WAUZAJI wa vyakula maeneo ya Manzese na Kariakoo jijini Dar es Salaam leo wamepewatiwa msaada wa Aprons , ili ziweze kuwwasaidia katika shughuli zao za uandaaji chakula.
Msaadaa huo umetolewa na Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ikiwa ni sehemu ya sera yao ya kurejesha kwa jamiii kile wanachokipaata.
“Kama tunavyojua kila mtu anapenda kula chakula ambacho kimeandaliwa kwenye mazingira safi na salama, hata pale ambapo anakula chakula hicho asiwe na wasiwasi wa kula chakula ambacho si salama na mwisho wa siku kikamleta magonjwa kama vile kuharisha, kipindupindu na mengine mengi,” amesema Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet, Matina Nkurlu na kuongeza kuwa:
“Kuhakiksha suala la magonjwa yanayotokana na kula vyakula visivyoandaliwa katika mazingira rafiki halitokei kwa wakazi wa Kariakoo na Manzese, Meridianbet tumefika maeneo hayo na kutoa Aprons s hizo ziwasaidie Mama Ntilie kuandaa chakula chao katika hali ya usafi na usalama”.
Akizungumza baada ya kupokea Aprons hizo, mmoja kati ya Mama Ntilie hao aliyejitambulisha kwa jina la Mama John wa Manzese, aliwashukuru Meridianbet kwa kuwapatia Aprons hizo, kwani uhitaji ulikuwa ni mkubwa, hivyo kuwaomba wawafikie wengine wenye uhitaji.
“Nimefurahi sana kupewa kitendea kazi kama hiki, ambapo kwenye biashara yangu hii ya kuuza juisi itanisaidia kulinda mazingira na usafi wa mwili, pia nawasihi wafanyabiashara wenzangu tuwaunge mkono Meridianbet katika huduma zao kwa kwakuwa na wao wanatukumbuka,” amesema Mama Joyce wa Kariakoo.
Matina aliwasisistiza wananchi kuendelea kubashiri na meridianbet kwa kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
“Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
“Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia Sh 1,000, pia *149*10#,” amesema Matina.