
Jitihada hizo walizoonyesha zimeweza kuwapatia ushindi dhidi ya TP Mazembe ikiwa ni miongoni ya timu kubwa barani Afrika.
“Pongezi kubwa kwa vijana wetu, wameonyesha ukomavu katika mchezo mgumu kwenye mazingira magumu dhidi ya moja ya Klabu kubwa barani Afrika, tunashukuru kwa sapoti kubwa kwa Mashabiki wetu na Uongozi kwa ujumla. Wananchi furaha yenu ndio fahari yetu”
Cedric Kaze
