Msanii RayVanny @rayvanny amerejesha mahusiano yake kwa mpenzi wake Fahyma @fahyvanny baada ya kutengana naye kwa muda akiwa na mahusiano na @therealpaulahkajala
Fahyvanny ametumika kama ‘Video Queen’ kwenye wimbo mpya wa Rayvanny ‘Forever’ ambayo imefikisha views Milioni 1 mjini Youtube ndani ya siku moja tu.Rayvanny ameshea ujumbe huu kwenda kwa Baby Mama wake huyo akiandika.
“Congratulations my life @fahyvanny for 1,000,000 views #Forever on @youtube in 1 day you did a great Job”.
Mashabiki wengi wamependa Rayvanny kumtumia Fahyvanny kama video queen wake na wakifurahia zaidi kurudisha penzi lao.
Kipi kinakuvutia zaidi kwenye couple hii?