ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, June 1, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Customer Service Officer Job Vacancies at TADB

    Specialist; Electronic Banking Job Vacancy at NMB Bank PLC

    YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

    CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM

    MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

    YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

    YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 31, 2023

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA DINI WAHIMIZE MAADILI

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
April 3, 2023
in NEWS
Reading Time: 3 mins read
A A
0
WAZIRI MKUU AWATAKA VIONGOZI WA DINI WAHIMIZE MAADILI
0
SHARES
1
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
May be an image of 6 people, people standing and indoorWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini kila wanapopata nafasi kwenye mimbari wakemee kuhusu ukatili wa kijinsia pamoja na wale wanaoenda kinyume na maadili na desturi za Kitanzania.
“Nitoe rai kwa viongozi wetu wa dini muendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu umuhimu wa kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania hususan katika kipindi hiki tunachokabiliwa na wimbi kubwa la mmomonyoko wa maadili,” amesema.
Ametoa wito huo jana (Jumapili, Aprili 2, 2023) wakati akizungumza na viongozi na waumini waliohudhuria mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran tukufu yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yaliandaliwa na taasisi ya Aisha Sururu Foundation (ASF).
“Sasa hivi Tanzania inakabiliwa na tatizo la mmomonyoko wa maadili na pia kumeibuka wimbi la vitendo vingine ambavyo vinakwenda kinyume kabisa na dini zetu pamoja na mila, desturi na tamaduni za kitanzania.
Ninampongeza sana Dkt. Aboubakar bin Zubeir, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania kwa kulisimamia kidete suala hili ikiwa ni pamoja na kutoa maelekezo mahsusi kwa viongozi wote wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania kulikemea na kutolifumbia macho.”
“Tunapowahifadhisha Quran vijana wetu, tuhakikishe jambo hilo jema linakwenda sambamba na ujenzi wa misingi imara ya malezi itakayowafanya wawe raia wema, waadilifu na wazalendo kwa nchi yao. Tukiwa wazazi, walezi na walimu wa Quran, nitoe rai kwamba tunapotoka hapa hebu tujiulize ni kwa kiasi gani tunaizingatia hii Quran tukufu katika mwenendo mzima wa maisha yetu ya kila siku.”
Waziri Mkuu amesema kwa kufanya hivyo watakuwa wanamsaidia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye mara zote amekuwa akiguswa na suala zima la maadili hususan kwa vijana. “Pia tutamsaidia Mheshimiwa Rais kupata wasaidizi wacha Mungu na waadilifu katika kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi.”
“Nasi tuendelee kuiombea nchi yetu na viongozi wake ili waendelee kuliongoza vema Taifa letu ikiwa ni pamoja na kujenga umoja na mshikamano, kudumisha amani na kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii,” amesisitiza.
May be an image of 4 people and people standing
May be an image of 4 people, people standing, people sitting, motorcycle, headscarf and indoor
Tags: OFISI YA WAZIRI MKUU
ADVERTISEMENT
Previous Post

TFF YATANGAZA MICHUANO U-17 KUANZA KUTIMUA VUMBI MWEZI HUU

Next Post

YASTAAJABISHA: MAITI KUWEZA REJESHEWA UHAI KWA TSH. MILIONI 65.5

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

Customer Service Officer Job Vacancies at TADB
NEWS

by ALFRED MTEWELE
June 1, 2023
0

TADB Bank Tanzania Agricultural Development Bank Customer Service Officer Job Vacancies at TADB Full Time Dar es Salaam ABOUT TANZANIA AGRICULTURAL DEVELOPMENT...

Read more
Specialist; Electronic Banking Job Vacancy at NMB Bank PLC

Specialist; Electronic Banking Job Vacancy at NMB Bank PLC

June 1, 2023
YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

June 1, 2023
CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM

CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM

May 31, 2023
MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

May 31, 2023
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 31, 2023

May 31, 2023
Load More
Next Post
YASTAAJABISHA: MAITI KUWEZA REJESHEWA UHAI KWA TSH. MILIONI 65.5

YASTAAJABISHA: MAITI KUWEZA REJESHEWA UHAI KWA TSH. MILIONI 65.5

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 29, 2023

May 29, 2023
YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

June 1, 2023
YANGA IMELOWA VS USM ALGER

YANGA IMELOWA VS USM ALGER

May 28, 2023
MAREKANI YAFUTILIA MBALI VIZA YA SPIKA WA BUNGE UGANDA KUFUATIA SHERIA DHIDI YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

May 30, 2023
Customer Service Officer Job Vacancies at TADB

Customer Service Officer Job Vacancies at TADB

June 1, 2023
2 Job Vacancies at TotalEnergies

2 Job Vacancies at TotalEnergies

June 1, 2023
Specialist; Electronic Banking Job Vacancy at NMB Bank PLC

Specialist; Electronic Banking Job Vacancy at NMB Bank PLC

June 1, 2023
FIFA YAIPONGEZA YANGA KUTWAA UBINGWA LIGI KUU

Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In