
Ndege hiyo ililazimika kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Cornwall Newquay na Mwanamke huyo kutolewa kwa machela kwa matibabu zaidi lakini baadae Jet2 ilitangaza kuwa mteja wao huyo amefariki Dunia.
Baada ya ndege hiyo kutua ililazimika kujaza mafuta tena huku polisi wakizungumza na wafanyakazi katika eneo la tukio kabla ya kupaa tena na kuwasili salama Manchester.