Askofu Mkuu, Stephen Kaziimba Mugalu amenukuliwa na Tovuti ya Serikali ya #NewVision akisema bado ana zawadi zinazojumuisha kiasi kikubwa cha Fedha zilizokusudiwa kwa Wanawake waliofunga Ndoa wakiwa Bikira
–
Mpango huo wa Tuzo ulianzishwa Mwezi Julai 2022, ambapo unalenga kuhamasisha Uchumba safi na wenye Afya na hatimaye Ndoa zinazoheshimika
–
Hata hivyo, Washiriki wa Mpango huo ni Wanawake pekee kwa kuwa ni vigumu Wanaume kuthibitika iwapo wamewahi kushiriki Mapenzi au laa, na huthibitishwa na Wanachama wa Umoja Wamama wa Kanisa hilo
–
CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kadi zake mpya za kielekroniki za zitaweza kutumika kama kadi ya kufanyia miamala ya...
Read more