Klabu ya Kagera Sugar imetoa taarifa ya kuujuza umma kuwa imevunja Mkataba na aliyekuwa mchezaji wao ABDUL AZIZ MAKAME.
Mchezaji huyo aliingia mkataba wa kuitumikia klabu hio kwa muda wa Miaka miwili tokea mwa ka 2022 Mwezi Julai.
Hii leo wamefikia makubaliano baina ya pande mbili juu ya kuvunja rasmi mkataba huo kwa maslahi mapana kwa timu na mchezaji huyo pia.