Simba SC ndio klabu yenye thamani kubwa zaidi nchini Tanzania, ikiwa na thamani ya TZS bilioni 5.69 kwa mujibu wa mtandao wa ‘transfermarkt.’
Katika orodha ya vilabu vinne vyenye thamani kubwa zaidi nchini, nafasi ya pili inashikwa na Yanga (TZS bilioni 5.49), Azam FC (TZS bilioni 2.68) na Namungo FC (TZS milioni 510.85).