Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, amesema “Ni muhimu Serikali ilitazame, tunazuia Magari Saa 6 kwasababu ipi? Madereva ni walewale wanaotuendesha sisi na wanaoendesha hayo magari mengine. Kama kuna mahali pana upungufu tuyafanyie kazi hayo.”
–
Ameongeza “Kuzuia Abiria halafu anakaa hapo Gari inaondoka baada ya Saa 4, sasa sijui tunakuwa tumezuia nini, hasa katika kapindi hiki ambacho Serikali inafanya juhudi kubwa ya kuboresha Miundombinu ya Barabara.”
Customer Service Officer Job Vacancies at TADB
TADB Bank Tanzania Agricultural Development Bank Customer Service Officer Job Vacancies at TADB Full Time Dar es Salaam ABOUT TANZANIA AGRICULTURAL DEVELOPMENT...
Read more