Kiongozi wa chama cha Wapigania Uchumi Huru, EFF Nchini Afrika Kusini @Julius_S_Malema ameongoza maandamano ya wafuasi na wanachama wa chama hicho kuelekea ubalozi wa Uganda Nchini Afrika Kusini kupinga kitendo cha Bunge la Uganda kupitisha mswada wa sheria unaotoa adhabu kali kwa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ikiwemo ushoga na usagaji, Malema amemtaka Museveni kutosaini mswada huo kuwa sheria na kumtaka awaache raia wa Uganda waishi watakavyo
WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO
Katibu Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. @DrTedros Adhanom Ghebreyesus ameipongeza Tanzania kwa jududi inazoendelea kufizanya katika kupambana...
Read more