Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira (Robertinho) ameibuka kinara wa tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Machi Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
Kufuatia Kikosi anachokinoa kufanya vyema zaidi katika mwezi Machi kimefanya Bodi ya Ligi kuu itambue mchango wake katika Ligi kuu na Kuweza kupewa sifa za Kutunukiwa tuzo hio.