ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Wednesday, May 31, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

    TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

    WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

    DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

    DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

    MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

    Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

MBUNGE AWAKA BEI ZA SARUJI KUUMIZA WANANCHI

Dodoma

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
April 14, 2023
in NEWS
Reading Time: 2 mins read
A A
0
MBUNGE AWAKA BEI ZA SARUJI KUUMIZA WANANCHI
0
SHARES
39
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Jambo TV on Twitter: "Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu  amekana kuhusika na tuhuma za kuwa alimshambulia mtu mmoja kwa kusema kuwa,  mtu huyo ni mgonjwa wa muda mrefu naMbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu (CCM) amesema kuna wakati wabunge wanapitisha vitu ambavyo hawavijui lakini vinaumiza wananchi.

 Kingu alisema ipo haja ya Taifa kufanya uamuzi mgumu ili kuwasaidia wananchi wanaoumizwa na bei za bidhaa mbalimbali, ikiwamo saruji.

 Kingu alisema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake bungeni jijini Dodoma jana.

Alisema Desemba 7, 2020, Waziri Mkuu alitoa maelekezo ya kuangalia namna gani Serikali itakwenda kusaidia kupunguza makali hayo baada ya kubaini bei za vifaa vya ujenzi, ikiwamo saruji kuwa juu.

 Alisema kuna stadi iliyofanywa na vijana wazalendo wa Tanzania, ilibaini kuwa mpango wa ununuzi wa hisa za kiwanda cha saruji cha Tanga ulikuwa unakwenda kuumiza mfumo wote wa upangaji wa bei ya saruji nchini.

 “Stadi imeonyesha gharama ya kuzalisha mfuko mmoja wa saruji ni Sh5,700 na kampuni ikiachwa, inabidi iuze saruji mfuko mmoja Sh8,700 hadi Sh9,000, lakini wanaumiza wananchi,” alisema Kingu.

 Alisema sheria ya ushindani iliyotungwa na Bunge inapaswa kuangaliwa na kulindwa, vinginevyo Watanzania wakigeuka kushoto ‘wanapigwa.’

 Alisema umoja wa wazalisha saruji wa Afrika Mashariki unakaa vikao na kupanga bei za saruji kwa kuwaumiza wananchi.

 “Tulichokifanya kibaya zaidi ni kupandisha bei ya ushuru kwa saruji inayoingia nchini kutoka asilimia 23 hadi 35 wakati wazalishaji wa ndani wanazalisha asilimia tatu pekee ambayo haisaidii wakati sekta ya ujenzi inakua kwa kasi,” alisema Kingu.

 Hata hivyo, mbunge huyo alisema wazalishaji kwa kushirikiana na wasambazaji wanatumia mbinu mbalimbali kunyamazisha sauti za wabunge wanaoonekana kupiga kelele.

 Alimtaka Waziri Mkuu kuitisha taarifa hiyo ya wazalendo na kuipitia upya ili kusaidia kushusha bei ya saruji ambayo alisema akifanya hivyo, ifikapo Juni, bei ya saruji itakuwa si zaidi ya Sh9,000 kwa mfuko mmoja.

 Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba alisema kimuundo na kimfumo Serikali imejipanga kuweka mfumo wa kiushindani.

Mbunge wa Mtwara Mjini, Hassan Mtenga (CCM) alisema Tanzania haiwezi kuwa na uchumi imara kama haitaimarisha ulinzi wa viwanda.

 Mtenga alisema ulinzi huo uendane sambamba na kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja.

Tags: BUNGE LA TANZANIA
ADVERTISEMENT
Previous Post

SIMBA SC YAITAKA DERBY KINDAKINDAKI

Next Post

MCHONGO MPYA WATIKI MCL KUSHIRIKIANA NA KOREAN TIMES

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA
NEWS

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
0

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Daniel Chongolo, amepiga marufuku Mkoa wa Iringa kuwa sehemu ya kupata mabinti wa kazi...

Read more
TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

May 30, 2023
WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

May 30, 2023
DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

May 30, 2023
MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

May 30, 2023
Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD

Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD

May 30, 2023
Load More
Next Post
MCHONGO MPYA WATIKI MCL KUSHIRIKIANA NA KOREAN TIMES

MCHONGO MPYA WATIKI MCL KUSHIRIKIANA NA KOREAN TIMES

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 29, 2023

May 29, 2023
YANGA IMELOWA VS USM ALGER

YANGA IMELOWA VS USM ALGER

May 28, 2023
RC MALIMA ATAKA ULANGA IFUNGUKE KIFURSA

RC MALIMA ATAKA ULANGA IFUNGUKE KIFURSA

May 26, 2023
POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

May 30, 2023
IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

May 30, 2023
TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

May 30, 2023
WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

May 30, 2023
POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

May 30, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In