Chelsea wako tayari kumfanya kiungo wa kati wa Barcelona na Uhispania Gavi kuwa miongoni mwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi kwenye Premier League ili kumsajili kinda huyo mwenye umri wa miaka 18. (AS – in Spanish)
The Blues pia wana imani kuwa wanaweza kushinda mbio za kumnunua mshambuliaji wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen, 24, hata bila ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao. (90min)