Mwimbaji Staa wa Bongofleva ambaye kwa sasa anatamba na ngoma mpya za ‘sawa’ na “na iwe kheri/Ramadhan Kareem’ Jay Melody amefunguka kwenye Exclusive ya AMPLIFAYA CloudsFM kwamba wimbo wake wa ‘Nakupenda’ ambao ulishika namba moja kwenye chati zote, umemuingizia zaidi ya Tsh. milioni 200.
SAUTI SOL YATANGAZA KUVUNJA KUNDI
Kundi la Sauti Sol kutokea nchini Kenya limetangaza kuwa litasitisha kufanya kazi pamoja kama kundi kwa muda usiojulikana baada ya...
Read more