ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Wednesday, May 31, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

    IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

    TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

    TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

    WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

    WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

    DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

    DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

    MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

    MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

    Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD

    Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

Kampeni ya upandaji miti yawa kivutio Iftar ya NMB bungeni

iamkrantz by iamkrantz
April 17, 2023
in Uncategorized
Reading Time: 4 mins read
A A
0
Kampeni ya upandaji miti yawa kivutio Iftar ya NMB bungeni
0
SHARES
2
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

NA MWANDISHI WETU, DODOMA

Kampeni ya Benki ya NMB ya kuongeza miti milioni moja katika ajenda ya serikali ya kuyatunza mazingira na kupambana na athari za tabia nchi imewakosha wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wakiongozwa na Spika Dkt Tulia Ackson, wawakilishi hao wa wananchi bungeni wameisifu taasisi hiyo kwa mradi huo mkubwa na wa kipekee nchini wengi wakisema ni wakizalendo na wenye manufaa makubwa kwa maendeleo ya taifa na maisha ya viumbe hai kwa ujumla.

Bunge limeahidi kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wake na kuhakikisha kampeni hiyo ya kuikijanisha Tanzania inazaa matunda yaliyokusudiwa.

Wabunge hao walibainisha azma hiyo mwishoni mwa wiki jana baada ya kuvutiwa na uwekezaji huo na kuobwa na uongozi wa NMB kusaidia kuipeleka kampeni hiyo majimboni mwao.

Benki hiyo iliomba ushirikiano wa Bunge na wajumbe wake kwenye hafla ya Iftar ambayo iliiandaa Ijumaa bungeni ikiwa ni mwendelezo wa utamaduni wake wa kushirikiana na waumini wa dini ya Kiislamu kwenye Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

NMB imekuwa na utaratibu wa kuwafuturisha wadau na washirika wake likiwemo Bunge ambalo mara hii limetumia fursa hiyo kuipongeza taasisi hiyo kubwa ya fedha nchini kwa ukarimu huo na pia kuimwagia sifa kwa ushirki wake mkubwa katika ujenzi wa taifa na maendeleo ya Watanzania.

Mara baada ya futari hiyo ya kukata na shoka, Dkt Tulia aliipongeza NMB sio tu kwa kudumisha utamaduni wa kufuturisha bungeni, bali pia kwa kubuni kampeni endelevu ya upandaji miti na kuona umuhimu wa ushiriki wa wabunge kuifanikisha.

Kiongozi huyo alisema wameipokea kampeni hiyo iliyozinduliwa kitaifa Machi 27 na Makamu wa Rais, Dkt Philip Isidor  Mpango, jijini Dodoma na kwa niaba ya wabunge wote kuahidi kuifanyia kazi.

Aidha, Dkt Tulia aliishukuru NMB kwa kutambua umuhimu wa kufanya ibada ya kufuturisha kwa kushirikisha wabunge, na kwamba kwa kufanya hivyo, benki inakuwa imeshirikisha wananchi wao, ambao wanawawakilisha bungeni.

“Sisi kama Bunge tumefurahishwa na mipango yenu yote iliyoelezwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu , ambayo ni chanya na yenye manufaa makubwa kwa jamii na taifa kwa ujumla wake. Mipango hiyo ni muendelezo, kwani nina uhakika kila mbunge hapa jimboni kwake NMB imeacha alama kupitia uwajibikaji wake kwa jamii (CSR).

“Vitabu vyenu vya mapato vinaonesha mko vizuri na vinaakisi mchango mkubwa mnaoutoa kwa maendeleo ya taifa kutokana na kodi kubwa mnazolipa. Na kama haitoshi mnakuja na mipango muhimu kila uchao, ukiwemo huu wa upandaji miti milioni moja kote nchini mwaka huu,” alibainisha na kuongeza kuwa:

“Jambo hili ni la heri sana kwa ustawi wa mazingira yetu na kuwezesha vita ya kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi. Nashukuru mmewataka wabunge kushirikiana nanyi kwa kuipeleka kampeni majimboni, nasi tunaahidi kufanya hivyo, tunaomba tu uwepo wepesi wa kutufikia kila tutakapowahitaji.”

Kwenye mahojiano baada ya kufuturu, baadhi ya wabunge, mbali na kuishukuru NMB kwa futari na kuisifu kwa ajenda yake ya kuchangia maendeleo endelevu, pia walisema benki hiyo ni kinara wa kulihudumia taifa kupitia ubunifu wa kidijitali na suluhisho za kifedha za viwango vya kimataifa.

Wabunge hao ambao ni pamoja na Mbunge  wa  Nyangwale, Bw Nassor Ammar, Mbunge wa Viti Maalujm, Bi Hawa Mchafu, na Mbunge wa Sengerema, Bw Hamis Tabasamu, walibainisha pia kuwa NMB inaongoza kwa kuwekeza katika miradi ya kijamii.

Aidha, walisema bajeti zake za CSR ni kubwa sana na ambazo ni mfano wa kuigwa kwa kusaidia kununua maelfu ya madawati kote nchini, kujenga madarasa na vyoo mashuleni, kuchangia vitanda mahospitalini, mashuka na  vifaa vingine vya kuboresha utoaji wa huduma za afya.

NMB hutumia asilimia moja ya faida yake baada ya kodi kila mwaka kwa ajili ya kurudisha fadhila kwa jamii na kusaidia kutatua changamoto za wananchi, kiasi ambacho kwa mwaka huu, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Filbert Mponzi alisema kimeongezeka hadi TZS bilioni 6.2.

Akifafanua, Bw Mponzi alisema hii ni kutokana na Bodi ya Wakurugenzi kuidhinisha TZS bilioni 2 zaidi kwa ajili ya ajenda ya uendelevu yakiwemo masuala ya mazingira ambayo mradi wa kupanda miti milioni moja ni sehemu ya ufadhili huo mpya wa maendeleo endelevu wa NMB iliyopata faida ya TZS bilioni 429 mwaka 2022..

“Tumejipanga kupanda miti milioni moja kote nchini na hapa tutoe ombi kwa wabunge watusapoti kwa kupeleka kampeni hii katika maeneo yenu. Kwahiyo nawaomba wabunge wachangamkie fursa hii ili kuunga mkono jitihada za Serikali ya Rais Samia na Makamu wake Dkt Mpango za kuboresha na kuhifadhi mazingira,” alibainisha

Afisa huyo mwandamizi pia akaeleza ya kuwa, yote hayo kwa mwaka huu yanaenda sambamba na sherehe zao za kutimiza miaka 25 ya kutoa huduma za kibenki nchini huku Bunge likichangia mafanikio makubwa waliyopata.

Naye Mwenyekiti wa Bodi ya NMB, Dkt Edwin Mhede, alitumia nafasi hiyo kuihakikishia Serikali na wanahisa wengine, kwamba pesa za hisa zao na mali ziko salama NMB, kwani wanajivunia uimara wa mtaji, thamani na faida wanayopata mwaka baada ya mwaka.

MWISHO…

ADVERTISEMENT
Previous Post

DERBY 7 MAARUFU SANA BARANI AFRIKA

Next Post

Washindi 12 wajizolea zawadi nono na ‘NMB Bonge la Mpango

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

NMB ya kwanza kuzindua Malipo kwa QR na UnionPay International
Uncategorized

NMB ya kwanza kuzindua Malipo kwa QR na UnionPay International

by iamkrantz
May 24, 2023
0

NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB kwa kushirikiana na UnionPay International (UPI), wamezindua suluhisho la malipo ya kimtandao kupitia QR...

Read more
DKT. JAFO: MALENGO YA KUPANDA MITI MILIONI 1.5 HALMASHAURI YAVUKA

DKT. JAFO: MALENGO YA KUPANDA MITI MILIONI 1.5 HALMASHAURI YAVUKA

May 23, 2023
Mnada wa Chai kuanza Juni jijini Dar es Salaam  

Mnada wa Chai kuanza Juni jijini Dar es Salaam  

May 22, 2023
BENKI YA NBC YAZINDUA HUDUMA YA NBC CONNECT KANDA YA ZIWA JIJINI..

BENKI YA NBC YAZINDUA HUDUMA YA NBC CONNECT KANDA YA ZIWA JIJINI..

May 20, 2023
RAIS SAMIA AZINDUA MRADI WA MINARA YA KURUSHA MATANGAZO YA TELEVISHENI ARDHINI, DTT, YA KAMPUNI YA AZAM MEDIA

RAIS SAMIA AZINDUA MRADI WA MINARA YA KURUSHA MATANGAZO YA TELEVISHENI ARDHINI, DTT, YA KAMPUNI YA AZAM MEDIA

May 19, 2023
MERIDIANBET MWENDO KURUDISHA KWA JAMII YAWAFIKIA BODABODA MBAGALA

MERIDIANBET MWENDO KURUDISHA KWA JAMII YAWAFIKIA BODABODA MBAGALA

May 14, 2023
Load More
Next Post
Washindi 12 wajizolea zawadi nono na ‘NMB Bonge la Mpango

Washindi 12 wajizolea zawadi nono na ‘NMB Bonge la Mpango

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 29, 2023

May 29, 2023
YANGA IMELOWA VS USM ALGER

YANGA IMELOWA VS USM ALGER

May 28, 2023
RC MALIMA ATAKA ULANGA IFUNGUKE KIFURSA

RC MALIMA ATAKA ULANGA IFUNGUKE KIFURSA

May 26, 2023
POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

May 30, 2023
IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

May 31, 2023
TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

May 30, 2023
WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

May 30, 2023
POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

May 30, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In