Real Madrid wanataka kutumia mwanya wa kipengele katika mkataba wa mshambuliaji wa Manchester City Erling Haaland mwenye umri wa miaka 22 kumsaini mshambuliaji huyo wa Norway katika msimu wa joto wa 2024. (Fichajes).
Mshambuzi huyo amekuwa kivutio kikubwa kwa Vilabu vingi kutaka kupata Saini yake na kuweza kuhudumu kulingana na ubora wa viwango vya juu alio nao katika soka la mpira wa miguu kwani Alipotoka Borussia Dortimund katika Ligi ya Ujerumani na Kuhamia Man City katika Ligi Kuu ya Uingereza bado amekuwa katika ubora ule ule na bado anaendelea kukua zaidi kisoka.