Polisi wa Lagos Nigeria wamethibitisha kukamata na kuendelea kuwahoji watu wanne waliohusika katika jaribio la kumteka nyara msanii Tiwa Savage. Watu hao waliopanga njama ni wafanya kazi wake wa ndani na kwenye eneo la nyumba yake.
–
Mpaka sasa polisi wamedai kuwa ‘Wafanyakazi wake walivujisha ratiba yake na idadi ya watu atakao kuwa nae kwa watekaji ila njama zao ziligonga mwamba”, tukio hili lilitokea 13 April,2023.
–
Nigeria ni miongoni mwa nchi ambazo Utekaji nyara hutumika na wahuni kama njia ya kujipatia kipato kirahisi zaidi.
#koncepttvupdates