Kupitia Kurasa za mitandao ya kijamii ya Kurugenzi ya Masiliano ya Rais Ikulu taarifa imetolewa kuujuza umma kuwa RAIS wa nchini Tanzania Mh Dkt. Samia Suluhu amefanya tenguzi mpya mwezi huu Aprili ambapo amemtengua Bw. Sekiete Yahaya Seleman kuhudumu katika nafasi ya serikalini kama Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza
Customer Service Officer Job Vacancies at TADB
TADB Bank Tanzania Agricultural Development Bank Customer Service Officer Job Vacancies at TADB Full Time Dar es Salaam ABOUT TANZANIA AGRICULTURAL DEVELOPMENT...
Read more