Afisa habari wa Klabu ya Simba afunguka kuhusu hali ya Majeruhi katika kikosicha klabu hio, haswahaswa agusia hali ya Sadio Kanoute ambaye kwa kitambo fulani hajawepo kikosini utokana na kutokuwa vyema kiafya, vivyo hivyo azungumza kuhusu Mlinda lango namabri moja wa kikosi hicho pia kuwa wote watarejea na kufanyiwa Check-up na Madaktari kuona kama hali zao zitaruhusu kuwepo katika michuano hio.
“Kuhusu majeruhi, Kanoute anasumbuliwa na nyonga na leo atawasili kambini kukutana na madaktari kama atakuwa sawa ataanza mazoezi, hivyo hivyo kwa Aishi Manula atakutana na madaktari kuangalia hali yake.” Ahmed Ally.