ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, June 1, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Customer Service Officer Job Vacancies at TADB

    Specialist; Electronic Banking Job Vacancy at NMB Bank PLC

    YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

    CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM

    MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

    YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

    YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 31, 2023

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

WAZIRI MKUU: SERIKALI IMETOA MIKOPO YA SH. BILIONI 1.88 KWA VIJANA

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
April 18, 2023
in NEWS
Reading Time: 3 mins read
A A
0
WAZIRI MKUU: SERIKALI IMETOA MIKOPO YA SH. BILIONI 1.88 KWA VIJANA
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Inaweza kuwa picha ya Watu 5 na maandishi yanayosema 'EMPOWERING YOUTH R SUSTAINABLE DEVELOPM OF HONOURS HON KASSIM LIWA MAJALIWA -PRIMEMI FOUNDATION german Z Deut MWL. K. NYERERE INTERNATIONAL CONVENTIONCENTRE CONVENTION'WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28.
“Ni ukweli usiopingika kuwa suala la uwezeshaji wa vijana ni muhimu katika kukuza uchumi. Hii ni kutokana na ukweli kwamba vijana ni nguvu kazi inayotegemewa na ni kundi kubwa katika nchi yetu. Kwa msingi huo maendeleo yetu yanategemea sana vijana kwani hili ni kundi kubwa na muhimu lenye umri wa kufanya kazi. Wingi wa vijana wenye ujuzi, ni chachu ya kuharakisha maendeleo endelevu,” amesema..
Amesema hayo Aprili 16, 2023 wakati akizindua Mradi wa Kuwezesha Vijana Kielimu na Kiuchumi kupitia KCB 2jiari wa KCB Foundation na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Ujerumani (GIZ) katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wote zikiwemo taasisi za kifedha, mashirika ya kimataifa na sekta binafsi katika kujenga nguv ukazi yenye ujuzi itakayoshiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ya Taifa.
“Serikali kwa upande wake inaendelea kutekeleza mikakati na programu mbalimbali za uwezeshaji wa vijana ili kuhakikisha wananchi wanaendelea kuwekewa mazingira mazuri na wezeshi ya kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo,” amesema.
Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa tangu ianze kutekeleza Programu ya Taifa ya Kukuza Ujuzi, Serikali imetoa fursa za mafunzo ya ujuzi wa kujiajiri au kuajiriwa kwa vijana 118,415 katika fani za uanagenzi, uzoefu wa kazi, ufugaji wa samaki na viumbe maji na kilimo cha kisasa kwa njia ya vizimba.
Kwa upande wake, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Joyce Ndalichako amesema kuwa mradi huo ni muhimu kwa kuwa unagusa moja kwa moja vijana ambao ni moja ya nguzo muhimu ya maendeleo ya Taifa.
Inaweza kuwa picha ya Watu 4 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 3 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 8
Tags: KCB BANK
ADVERTISEMENT
Previous Post

WAZIRI MKUU AFUTURU NA WANARUANGWA

Next Post

Kampeni ya #MitiMilioni ya Benki ya NMB yatua Tabora!

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

Customer Service Officer Job Vacancies at TADB
NEWS

by ALFRED MTEWELE
June 1, 2023
0

TADB Bank Tanzania Agricultural Development Bank Customer Service Officer Job Vacancies at TADB Full Time Dar es Salaam ABOUT TANZANIA AGRICULTURAL DEVELOPMENT...

Read more
Specialist; Electronic Banking Job Vacancy at NMB Bank PLC

Specialist; Electronic Banking Job Vacancy at NMB Bank PLC

June 1, 2023
YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

June 1, 2023
CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM

CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM

May 31, 2023
MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

May 31, 2023
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 31, 2023

May 31, 2023
Load More
Next Post
Kampeni ya #MitiMilioni ya Benki ya NMB yatua Tabora!

Kampeni ya #MitiMilioni ya Benki ya NMB yatua Tabora!

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 29, 2023

May 29, 2023
YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 1, 2023

June 1, 2023
YANGA IMELOWA VS USM ALGER

YANGA IMELOWA VS USM ALGER

May 28, 2023
MAREKANI YAFUTILIA MBALI VIZA YA SPIKA WA BUNGE UGANDA KUFUATIA SHERIA DHIDI YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

May 30, 2023
Customer Service Officer Job Vacancies at TADB

Customer Service Officer Job Vacancies at TADB

June 1, 2023
2 Job Vacancies at TotalEnergies

2 Job Vacancies at TotalEnergies

June 1, 2023
Specialist; Electronic Banking Job Vacancy at NMB Bank PLC

Specialist; Electronic Banking Job Vacancy at NMB Bank PLC

June 1, 2023
FIFA YAIPONGEZA YANGA KUTWAA UBINGWA LIGI KUU

Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In