
Jana, imeungana na Kampuni ya @strategisinsurancetz kuzindua huduma ya Bima ya Kontena (Container Insurance Scheme) kutanua wigo wa upatikanaji wa bima kwa wadau wa sekta ya usafirishaji na kupunguza gharama za usafirishaji.
Bima hio itasaidia:





Huduma hii imezinduliwa na Mkurugenzi wa Leseni na Usimamizi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania, Abubakar Ndwata; Mkuu wa Idara ya Bima Benki ya NMB, Martine Massawe; Mkuu wa Mtandao wa Matawi, Donatus Richard na viongozi wa kampuni ya Strategis.
Tembelea tawi lililo karibu yako kukata bima hii au tupigie simu ya bure 0800 002 002.