Mlinda mlango wa Manchester United Mhispania David de Gea, 32, yuko mbioni kusaini mkataba mpya wa kusalia katika klabu hiyo. (Forbes)
Aidha United wanaongoza katika mbio za kumsajili mshambuliaji wa Atalanta na Denmark Rasmus Hojlund mwenye umri wa miaka 20. (Mirror)