Paris St-Germain wanaandaa dau la pauni milioni 133 kwa mshambuliaji wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen na wataingia kwenye nafasi nzuri mbele ya Chelsea, kwa ajili ya kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24. (Football Insider)
Nyota huyo amekuwa akitazamwa na Vilabu vingi kulilingana na namna kiwango chake kimezidi kuwa bora zaidi kila iitwapo leo.