Hello! Habari ya wasaa huu, karibu uweze kupitia habari kemkem zilizopewa kipaumbele katika kurasa za Magazeti ya leo Jumapili Aprili 23, 2023 kutokea jijini Dar es Salaam, Tanzania
CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kadi zake mpya za kielekroniki za zitaweza kutumika kama kadi ya kufanyia miamala ya...
Read more