DJ Maarufu hapa nchini kwa sasa na ambaye ana-trend sana mitandaoni DJ-Ally B amefunguka kuwa tukiachana na sababu nyingine pesa inabaki kuwa kila kitu kwenye maisha haya maana ukiwa hata na pesa kiasi kidogo ambacho ni chako lazima uwe na furaha.
DJ Ally B ameeleza hayo kupitia mahojiano yake katika kituo cha kurusha matangazo East Africa Radio.
‘Mwisho wa siku pesa ni kila kitu kwenye maisha, sawa huna hela lakini kuna kale kahela kako unakunywa hata bia mbili, unakula ubwabwa maharage wako proper, unalala kitandani umeridhika umeshiba, lazima mtu kama huyu awe na furaha” – @thisisdjallyB
