Meneja habari wa Simba SC amekiri licha ya ukubwa na uzoefu wa timu ya Wydad Casablanca katika michuano hio ya Klabu Bingwa Barani Afrika bado kama klabu wanataka wafanye vizuri ili kuweza tinga hatua inayofuata ya Nusu Fainali kupitia mchezo wa marudiano utakaochezwa nchini Morocco.
“Kitu nina uhakika ni kwamba Wydad wametuzidi ubora na uzoefu lakini kitu nina uhakika zaidi tumewazidi moyo wa kupambana Ijumaa ni siku ya mapambano tunaipambania Simba yetu, tunaipambania heshima yetu” Ahmed Ally