Maafisa wa Real Madrid watasafiri hadi Ujerumani wiki hii katika jitihada za kumshawishi kiungo wa kati wa Borussia Dortmund na Uingereza Jude Bellingham, 19, kujiunga na klabu hiyo ya Uhispania msimu huu wa joto. (Marca kwa Kihispania)
Nyota huyo anayekipiga mnamo klabu ya Borussia Dortmund amekuwa na wakati mzuri sana kwa kuonesha makali yake katika soka kwani amezidi kuwa bora kila hatua za mechi anazocheza katika Ligi Kuu ya Ujerumani, BundesLiga.
#KoncepttvUpdates