• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, September 21, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI MPYA YA SHINDA MECHI ZAKO NA NBC

iamkrantz by iamkrantz
May 3, 2023
in BUSINESS NEWS, Uncategorized
Reading Time: 2 mins read
A A
0
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI MPYA YA SHINDA MECHI ZAKO NA NBC
0
SHARES
4
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Mkuu wa Bidhaa za NBC, Abel Kaseko akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kampeni mpya inayojulikana kama “Shinda Mechi Zako na NBC”. Kampeni ya “Shinda Mechi Zako na NBC”, inalenga kuongeza thamani kwa wateja wa NBC na kukuza ukuaji wao wa kifedha na uchumi wa nchi. Kampeni ina lengo la kuwafikia wateja binafsi, waajiriwa, wamiliki wa biashara ndogo, mawakala, na wengine wanaotumia huduma za benki za kimtandao kupitia NBC.Pembeni yake ni Mkuu wa Masoko ya NBC, David Raymond Hafla ya uzinduzi huu umefanyika jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Masoko ya NBC, David Raymond ( wa kwanza kushoto ) na Mkuu wa Bidhaa za NBC, Abel Kaseko ( watatu kushoto). akiwa katika picha ya pamoja na waandishi na wachambuzi wa michezo kutoka vituo mbalimbali vya redio na Luninga wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ampeni mpya inayojulikana kama “Shinda Mechi Zako na NBC”. Kampeni ya “Shinda Mechi Zako na NBC”, inalenga kuongeza thamani kwa wateja wa NBC na kukuza ukuaji wao wa kifedha na uchumi wa nchi. Kampeni ina lengo la kuwafikia wateja binafsi, waajiriwa, wamiliki wa biashara ndogo, mawakala, na wengine wanaotumia huduma za benki za kimtandao kupitia NBC.Hafla ya uzinduzi huu umefanyika jijini Dar es salaam.

3, MEI, 2023: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo imezindua kampeni mpya inayojulikana kama “Shinda Mechi Zako na NBC”. Kampeni ya  “Shinda Mechi Zako na NBC”,   inalenga kuongeza thamani kwa wateja wa NBC  na kukuza ukuaji wao wa kifedha na uchumi wa nchi. Kampeni  ina lengo la kuwafikia wateja binafsi, waajiriwa, wamiliki wa biashara ndogo, mawakala, na wengine wanaotumia huduma za benki za kimtandao kupitia NBC.

Kwa kutambua changamoto mbalimbali zinazowakabili watu wa kada mbali mbali, Benki ya NBC imepanga kuwasaidia kutatua changamoto hizo kupitia ushauri na huduma za kifedha ambazo ni suluhisho za changamoito hizo na mechi na hivyo kuja na jina “Shinda mechi zako na NBC”,

Kupitia kampeni hii NBC imetumia baadhi ya wachezaji nyota wa ligi kuu ya NBC. Kupitia kampeni hii, wateja wataweza kunufaika na gharama nafuu za miamala kama vile kuweka standing order bure kabisa, kulipia kwa kadi huduma za mtandaoni kwa punguzo la bei, na upatikanaji wa mikopo binafsi na ya biashara hadi milioni 150  ndani ya masaa 48. Aidha, wateja wanaweza kupata faida ya hadi asilimia 7% kwenye akaunti zao za NBC Malengo. Wateja pia wanaweza kupata mkopo wa kumalizia nyumba kwa gharama nafuu ili kukamilisha ndoto zao za ujenzi wa nyumba.

Kampeni ya “Shinda Mechi Zako na NBC” inalenga kuimarisha ustawi wa kifedha wa wateja wa NBC na kusaidia juhudi za serikali katika kutoa huduma za kifedha, kukuza uchumi wa  watanzania. NBC inaamini kuwa kampeni hii itawapa wateja faida kubwa na kuboresha thamani na uzoefu wa benki yao.

Akiongea wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo,, Mkuu wa Bidhaa za NBC, Abel Kaseko alisema, “Tuna furaha kuzindua kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako na NBC’, ambayo ipo kwa ajili ya kuwapa nguvu wateja wetu na kuwasaidia kufikia malengo yao ya kifedha kwa kuongeza thamani na uzoefu wao wa benki. Kampeni hii itawapa wateja wetu huduma za KIbenki zenye gharama nafuu na rahisi, na pia kusaidia kukuza uchumi wao.”

Kwa upande wake Mkuu wa Masoko ya NBC, David Raymond, alisema, “Tuna furaha kuzindua kampeni ya ‘Shinda Mechi Zako na NBC’ kwani ni sehemu ya ahadi yetu ya kuendelea kutoa huduma nafuu na rahisi za kibenki zinazokidhi mahitaji ya wateja wetu. Tunaamini kuwa huduma hizi zitawasaidia wateja wetu kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kijamii na pia kuchangia katika ukuaji wa uchumi binafsi na wa taifa kwa ujumla.”

Pamoja na malengo mengine, Kampeni inalenga kukuza upatikanaji wa huduma za kifedha na kuhamasisha zaidi watanzania kutumia huduma za benki. Pia ni sehemu ya ahadi kubwa ya NBC ya kusaidia juhudi za serikali ya Tanzania katika kukuza uchumi jumuishi.

MWISHO…..

ADVERTISEMENT
Previous Post

SPIKA WA BUNGE AOMBA JIMBO LAKE LA MBEYA MJINI LIGAWANYWE

Next Post

BOT yaipa kongole BENKI YA NMB ikifungua tawi la 229 Arusha

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa
Uncategorized

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

by JERRY JUNGA
September 21, 2023
0

Nilikuwa kwenye ndoa na dada moja ambaye alikuwa ni mke wangu, miezi kadhaa baada ya kufunga naye ndoa hali ilikuwa...

Read more
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

September 11, 2023
Nimeteseka sana na mpenzi ila nimepata tulizo la moyo!

September 8, 2023
Load More
Next Post
BOT yaipa kongole BENKI YA NMB ikifungua tawi la 229 Arusha

BOT yaipa kongole BENKI YA NMB ikifungua tawi la 229 Arusha

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
Benki Ya NMB Yaendelea Kuwa Kinara Wa Ufanisi Nchini Tanzania

July 29, 2022
WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KITALII YA TAWA SEA CRUSIER

March 16, 2023
FAIDA ZA UWEKEZAJI KATIKA MFUMO WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

May 10, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In