Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya kikao chake kilichofanyika Mei 4, 2023 pamoja na mambo mengine yaliosikilizwa kuhusiana na shauri la Mchezaji Feisal Salum aliyewasilisha malamiko ya kutaka vunja mkataba wake na Klabu ya Young Africans kupitia barua yake ya Machi 6, 2023, majibu yatolewa kama ifuatavyo;
POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO
Meneja mpya Chelsea Mauricio Pochettino tayari amemwambia Todd Boehly kuwa hataki mchezaji mwenye umri wa miaka 23 kwenye kikosi chake...
Read more