Meneja wa habari Simba SC Ahmed Ally alimaarufu SEMAJI afunguka kwa machungu namna klabu hio na mashabiki zake kupoteza kabisa matumaini katika kutwaa taji la aina yoyote msimu huu 2022/23 baada ya kupoteza mechi ya Nusu Fainali ASFC dhidi Azam FC kwa kuruhusu kichapo 2-1.
Baada ya Kushindwa kabisa hata hatua hio ya kujinyakulia ushindi wa ASFC Ahmed Ally amesema inabidi klabu hio kuanza tu maandalizi kwa ajili ya msimu ujao.
Kwa upande wa klabu hio haina tena cha kupoteza zaidi ya kukamilisha ratiba yake kwa mechi zilizosalia.
videoplayhttps://youtu.be/XmYlpEkW5uo