Nahodha msaidizi wa Simba SC, Mohamed Hussein amelezea sababu za kuhitaji kushinda kwenye mchezo wao wa leo wa nusu fainali ya Azam Sports Federation Cup dhidi ya Azam FC.
Ikiwa klabu hio ilianza kwa kutolewa hatua ya Robo Mchezo wa mkondo wa pili kuelekea kufuzu hatua ya Nusu Fainali Klabu Bingwa Afrika pia iliporejea imepoteza mchezo wake wa matumaini dhidi ya Namungo FC kuwania kutwaa Ubingwa wa Kombe la Michuano ya Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara hivyo kwao imesalia nafasi hio pekee ya kupambania walau kushinda taji hilo la Kombe la Shirikisho la AZAM SPORTS.
Mechi hio itachezwa saa 9:30 alasiri katika Dimba la Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara LIVE kupitia #AzamSports1HD #ASFC