Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Raisi TAMISEMI Nteghenjwa Hosseah amekanushauvumi wa taarifa inayosambaa kumhusu Dkt. Festo Dugange ikionyesha kuwa amejiuzulu haina ukweli ni ya kupuuzwa kwani Dkt. Dugange bado anakaimu nafasi yake hio.
“Taarifa ya kwamba Naibu Waziri amejiuzulu ni uzushi na Wananchi wanaombwa kuipuuza kwani Dkt.Festo Dugange bado ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais- TAMISEMI”- Nteghenjwa Hosseah ( Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano OR-TAMISEMI )