Tahadhari hiyo imetolewa mapema ili kuepusha taharuki au sintofahamu pindi Maafisa wa Usalama wakija watia mbaroni aiina ya mashabiki watakaopelekea fujo za namna hio ili kuhakikisha raia wote wawe katika hali ya usalama wao na mali zao pindi ukizingatiwa utulivu kwa kufuata maelekezo hayo kutoka jeshi hilo kanda maalum.
CCM YAZINDUA KADI ZA KIELEKRONIKI KUTUMIKA KAMA ATM
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kadi zake mpya za kielekroniki za zitaweza kutumika kama kadi ya kufanyia miamala ya...
Read more