ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Wednesday, May 31, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

    MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

    YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

    YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 31, 2023

    WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

    WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

    IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

    IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

    TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

    TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

    WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

    WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

WAFANYAKAZI WAPYA 16 WA KUJITOLEA WA PEACE CORPS WAAPISHWA KUANZA HUDUMA YAO TANZANIA

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
May 11, 2023
in NEWS
Reading Time: 3 mins read
A A
0
WAFANYAKAZI WAPYA 16 WA KUJITOLEA WA PEACE CORPS WAAPISHWA KUANZA HUDUMA YAO TANZANIA
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Leo, katika hafla fupi iliyofanyika katika makao makuu ya Peace Corps Tanzania, Wamarekani 16 wameapishwa kuwa Wafanyakazi wa Kujitolea wa Peace Corps. Hafla hiyo iliongozwa na Balozi Michael Battle na kuhudhuriwa na mgeni rasmi Dr Edith Rwiza, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Mkurugenzi Mkazi wa Peace Corps Tanzania Stephanie Joseph de Goes.

Leo, katika hafla fupi iliyofanyika katika makao makuu ya Peace Corps Tanzania,Wamarekani 16 wameapishwa kuwa Wafanyakazi wa Kujitolea wa Peace Corps. Hafla hiyo iliongozwa na Balozi Michael Battle na kuhudhuriwa na mgeni rasmi Dr Edith Rwiza, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Mkurugenzi Mkazi wa Peace Corps Tanzania Stephanie Joseph de Goes.

Wafanyakazi wa kujitolea 16 walioapishwa leo ni kundi la kwanza la wafanyakazi wa kujitolea wa Peace Corps kuhudumu nchini Tanzania toka kuanza kwa janga la UVIKO-19 hapo Machi 2020 ambalo lililosababisha kurudishwa nyumbani kwa zaidi ya wafanyakazi wa kujitolea 7,000 kutoka duniani kote
ikiwemo 158 kutoka Tanzania.

Kwa wiki 12 zilizopita, wafanyakazi hawa wapya wa kujitolea wamekuwa wakipata mafunzo ya kina ya utamaduni wa Kitanzania, lugha ya Kiswahili na ujuzi mahsusi kulingana na sekta watakazozitumikia.

Baada ya kula kiapo, wafanyakazi hawa watakwenda kufanya kazi na kuishi na jamii za Kitanzania katikamikoa ya Kilimanjaro, Tanga na Zanzibar ambako watahudumu kwa miezi 24 wakizisaidia jamiikushughulikia vipaumbele muhimu vya maendeleo, ikiwa ni pamoja na elimu, afya ya jamii na kilimo
endelevu.

Katika hotuba yake, Dk. Rwiza aliielezea Programu ya Peace Corps kama kielelezo cha uhusiano wa karibu kati ya Marekani na Tanzania na kama urithi wa urafiki kati ya Rais wa Kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere na Rais wa Marekani John Kennedy, ambaye ndiye muasisi wa Peace Corps.

Alitoa wito kwa wadau wote katika maeneo ambapo wafanyakazi hawa wa kujitolea watahudumu kuwapa msaada wa hali na mali ili kuwasaidia kushamiri katika utendaji kazi wao.

Akihutubia kabla ya kusimamia kiapo kwa wafanyakazi wapya wa kujitolea, Balozi Battle aliwaeleza wafanyakazi hao kuwa wap ndio watakuwa sura ya Marekani kwa watu wengi watakaokutana nao. “Watu watawakumbuka ninyi, kwa sababu mlitembea miongoni mwao, mlifundisha na kujifunza pamoja nao…
ninyi mnawakilisha kile kilicho bora kabisa kuhusu Marekani, na mna fursa ya kuishi na kujionea kile kilicho bora kabisa kuhusu Tanzania.”

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkazi wa Peace Corps Tanzania Country Stephanie Joseph de Goes alitoa shukrani kwa Serikali ya Tanzania, Chuo cha Ualimu Korogwe na familia zilizoishi na wafanyakazi wa kujitolea kwa kuisaidia Peace Corps kuwapokea na kutoa mafunzo ya Kiswahili na utamaduni wa Kitanzania kwa wafanyakazi wapya wa kujitolea kwa mafanikio makubwa. Alisisitiza dhamira ya dhati ya Peace Corps kufanya kazi na Tanzania kwa moyo wa ushirikiano, unyenyekevu na heshima.

Kuhusu Peace Corps:  Peace Corps ni mtandao kimataifa wa wafanyakazi wa kujitolea, wanajamii, wabia wa nchi zinazowapokea wafanyakazi hao na wafanyakazi wanaosukumwa na dhima ya shirika ya kuwa na dunia yenye amani na urafiki. Kwa mwaliko wa serikali mbalimbali duniani kote, wafanyakazi wa Kujitolea wa Peace Corps hufanya kazi na wanajamii wa jamii husika katika miradi yao ya kipaumbele katika maeneo ya elimu, afya, mazingira, kilimo, maendeleo ya kiuchumi ya jamii na maendeleo ya vijana. Kupitia huduma hii, wafanyakazi wa kujitolea na wale wote walio katika mtandao wa Peace Corps hujenga stadi mbalimbali wanazoweza kuzitumia mahali pengine na ujuzi wa kufanya kazi na watu wa tamaduni tofauti tofauti hivyo kuwaweka katika nafasi nzuri ya kuwa kizazi kijacho cha viongozi wa kimataifa. Toka Rais John F. Kennedy alipoanzisha Peace Corps mwaka 1961, zaidi ya Wamarekani 240,000 wamehudumu katika nchi 142 duniani kote. Zaidi ya Wafanyakazi wa Kujitolea wa Peace Corpos 3200 wamehudumu nchini Tanzania toka programu hii ilipoanza mwaka 1961, wakifanya kazi katika sekta za elimu, kilimo na afya wakishughulikia vipaumbele muhimu vya maendeleo na wakati huo huo wakikuza amani na urafiki duniani.No alternative text description for this image

Tags: PEACE CORPSUBALOZI WA MAREKANIUS EMBASSY IN TANZANIA
ADVERTISEMENT
Previous Post

MACHINGA ZANZIBAR KUAGANA NA USUMBUFU

Next Post

JINSI YA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUKUZA BIASHARA YAKO

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU
NEWS

MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

by ALFRED MTEWELE
May 31, 2023
0

Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, Bi. Rosalynn Carter amegundulika kuwa na ugonjwa unaoathiri uwezo wa akili...

Read more
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 31, 2023

May 31, 2023
WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

May 31, 2023
IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

May 31, 2023
TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

TANZANIA KUWA NA UMEME KILA KIJIJI IFIKAPO JUNI 2024

May 30, 2023
WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CUBA

May 30, 2023
Load More
Next Post
JINSI YA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUKUZA BIASHARA YAKO

JINSI YA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUKUZA BIASHARA YAKO

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 29, 2023

May 29, 2023
YANGA IMELOWA VS USM ALGER

YANGA IMELOWA VS USM ALGER

May 28, 2023
RC MALIMA ATAKA ULANGA IFUNGUKE KIFURSA

RC MALIMA ATAKA ULANGA IFUNGUKE KIFURSA

May 26, 2023
POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

May 30, 2023
MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

MKE WA RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI ASUMBULIWA NA KUPOTEZA KUMBUKUMBU

May 31, 2023
YALIYOJIRI KWENYE KURASA ZA MAGAZETI LEO MEI 21, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO MEI 31, 2023

May 31, 2023
WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

WHO YAIPONGEZA TANZANIA KWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO

May 31, 2023
IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

IRINGA ISIWE MAHALA PAKUTOLEA BEKI TATU, ISIFIKE KWA TAALUMA

May 31, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In