Beki wa Kisosi cha Yanga Ibrahim Bacca amefunguka aina ya wachezaji wa kuchungwa zaidi katika kikosi cha Marumo Gallants kutokana na aina ya uchezaji wao.
Amesema hivyo baada ya kupata uzoefu katika mechi yao iliyopita dhidi ya Kbabu hio ya Marumo Gallants kutokea nchini Afrika Kusini iliyochezwa mnamo Mei 10 Mwaka huu katika Dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam