Vinicius Junior hana mpango wa kuondoka Real Madrid, licha ya winga huyo wa Brazil, 22, kukumbwa na dhuluma za ubaguzi wa rangi kutoka kwa mashabiki wa wapinzani. (90 Min)
Vinícius José Paixão de Oliveira Júnior, anayejulikana kama Vinícius Júnior au Vini Jr., ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama winga wa klabu ya La Liga ya Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil.
Kitendo cha nyota huyo (22) kujibizana kwake na mchezaji mwenzake wa Klabu ya Valencia anayoshiriki Ligi kuu ya Hispania La Liga kimemfanya apitie wakati mgumu sana licha hali ya kuonyeshwa vitendo vinavyoashiria ubaguzi vilimkera na kushindwa jizuia hisia zake kwa muda katika mchezo uliokutanisha timu zao.