Kampuni ya Mawasiliano nchini Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Utengenezaji na Uuzaji Simu, TECNO Mobile Tanzania imezindua rasmi simu aina ya Tecno camon 20 series yenye camera kali, na yenye uwezo wa 5G. Tukio lilihudhuriwa na Meneja wake wa bidhaa za intaneti, Samwel Mlole.
Aidha simu hio ya Tecno camon 20 series imetajwa kuwa ina camera kali, GB 256/8 + Ram ya GB 8GB kwa bei Tshs 535,000 tu! na ili kuweza kuipata aina ya Simu hio unatakiwa kwenda duka la Vodacom lililo karibu yako.
Imesisitiza kwa kusema tembelea maduka yake makubwa, sasa kupata simu hio pamoja na Gb za kutosha!
#KoncepttvUpdates
