Chuo kikuu cha Iringa kimewafukuza wanafunzi zaidi ya 50 wa Bachelor of Information Technology (IT) baada ya kuteka mfumo wa ulipaji ada ambapo ilibainika kuwa wamelipa na kukataa kulipa ada hata pale walipokutwa wakifanya udanganyifu.-
Makamu wa Rais wa Chuo hicho Prof.\n Ndelilio Urio asema wanafunzi 256 walifanya udanganyifu katika malipo na Chuo hicho kiliamuru matokeo ya wanafunzi wote yafutwe.
Alifafanua, “Seneti iliketi Mei 24,2023 waliokubali kulipa ada, kukiri na kuomba msamaha tumewasamehe, wale wachache waliokataa kulipa wamefukuzwa.”