• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Wednesday, September 27, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

Udhamini wa NMB mikutano ya ALAT wafikia 1.2bn/-

iamkrantz by iamkrantz
June 2, 2023
in MASTAA, NEWS, Politics
Reading Time: 2 mins read
A A
0
Udhamini wa NMB mikutano ya ALAT wafikia 1.2bn/-
0
SHARES
10
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Afisa Mkuu Wateja Wakubwa na Serikali wa NMB – Bw. Alfred Shao, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdory Mpango, kwa niaba ya Benki ya NMB kwa kudhamini Mkutano Mkuu wa 37 wa ALAT Taifa kwa Sh. Milioni 200. Wakishuhudia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – Mhe. Angella Kairuki pamoja na Makamu Mwenyekiti wa ALAT Taifa – Mhe. Constantine Sima (kati kati).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdory Mpango akielezewa mafanikio na mipango iliyopo kati ya Benki ya NMB na ALAT Taifa katika ngazi zote, Afisa Mkuu Wateja Wakubwa na Serikali wa NMB – Bw. Alfred Shao, alipotembelea banda la NMB katika viwanja vya AICC Arusha, ulipokua unafanyika Mkutano Mkuu wa 37 wa ALAT Taifa.
Afisa Mkuu Wateja Wakubwa na Serikali wa NMB – Bw. Alfred Shao, (kushoto) akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa ALAT Taifa – Mhe. Sima Constantine Sima mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 200 ikiwa ni udhamini wa NMB kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika jijini Arusha. Akishuhudia ni Mkuu wa Idara ya Biashara za Serikali Benki wa NMB – Vicky Bishubo.

Beki ya NMB imeendelea kufanya kazi kwa karibu na Asasi ya Tawala za Mitaa (ALAT Taifa), ikiwemo kudhamini Mikutano yake Mikuu ya Mwaka kwa takribani miaka 7 mfululizo, na hadi sasa jumla ya shilingi bilioni 1.2 zimeshatumika.

Haya yamesemwa na Afisa Mkuu Wateja Wakubwa na Serikali wa NMB – Bw. Alfred Shao wakati akiwasilisha mada katika Mkutano wa 37 wa ALAT uliofanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa AICC- Arusha ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdory Mpango alikuwa Mgeni rasmi.

Mkutano huu wenye Kauli Mbiu “Miundombinu iliyoboreshwa ni chachu ya tuoaji wa huduma bora katika Mamlaka za Serikali za Mitaa” uliwakutanisha zaidi ya watumishi 500 kutoka Halmashauri zote 184 za Majiji, Manispaa, Wilaya na Miji kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.

Aidha, Bw. Shao alielezea kuwa, Benki ya NMB kama mdau wa maendeleo kupitia Halmashauri zote chini, imekuwa mshirika mkubwa sana kuboresha miundombinu ya elimu, afya, usafirishaji na mazingira na inaendelea kushiriki kikamilifu katika kutoa dhamana kwa Makandarasi zaidi ya 580 zenye thamani ya bilioni 49 katika hatua zote kuanzia hatua ya kuomba na kutekeleza miundombinu chini ya TARURA. Kupitia mifumo na mtandao mpana wa NMB umesaidia Serikali katika makusanyo ya mapato ya zaidi ya shilingi Trilioni 9.8 kuanzia mwaka 2018.

Lakini pia, kwenye utunzaji wa mazingira wamezindua kampeni ya upandaji miti milioni moja nchi nzima, ambapo hadi sasa wamepanda miti zaidi ya 550,000 pamoja na hiyo NMB imetenga kiasi cha shilingi Milioni 472 kama zawadi katika kampeni ya Tunza Mti Tukutuze kwa shule za Halmashauri zote Bara na Visiwani kushirikiana na Wizara ya TAMISEMI

Akisisitiza umuhimu wa kuyatunza mazingira kwa ajili ya maendeleo endelevu, Dkt. Mpango alizihamasisha Halmashauri kushiriki kikamilifu na kuwataka kufanya kama NMB walivyofanya kwenye kampeni ya kupanda miti milioni moja ambapo kwa kushirikiana na TAMISEMI wameandaa shindano la shule la upandaji miti lenye zawadi.

…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

ADVERTISEMENT
Previous Post

SERIKALI YAPOKEA BILIONI 15 KUTOKA UINGEREZA KWAAJILI YA MPANGO WA TASAF

Next Post

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 2, 2023

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.
NEWS

by iamkrantz
September 6, 2023
0

  Vodacom M-Pesa na Precision Air waemingia ushirikiano ambao utawawezesha wateja kukata tiketi ya ndege kupitia applikesheni ya M-Pesa Super...

Read more
NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

September 6, 2023
Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

August 29, 2023
NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

August 22, 2023
Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

August 21, 2023
USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

August 17, 2023
Load More
Next Post
YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 2, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 2, 2023

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
CHUKUA HII: TEUZI KABAMBE YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 2023

January 25, 2023
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

November 8, 2022
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In